IQNA

Msikiti wa Lala Mustafa Pasha,Cyprus

Msikiti wa Lala Mustafa Pasha uko katika mji wa Famagusta, kaskazini mwa Cyprus na ulijengwa katika karne ya 14 Miladia. Jengo la msikiti huo awali lilikuwa ni kanisa na baada ya mji huo kudhibitiwa na Ufalme wa Uthmaniya mwaka 1571,likabdilishwa kuwa msikiti.