Ukurasa Mkuu | Wasiliana na IQNA | Kuhusu IQNA
   17:16 GMT Idadi ya habari zote : 1
Tafuta:
Habari

Upatikanaji wa habari kwa mujibu wa maudhui

Huduma
Viungo
Mapendekezo ya Habari za Kufuatilia
Tuma habari
‌ Iran italisaidia taifa lolote litakalosimama kupambana na utawala ghasibu wa Israel
Sambamba na siku hizi za kuadhimisha mwaka wa 33 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran, Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khameni amehutubia Swala ya Ijumaa mjini Tehran akitoa uchambuzi kamili kuhusu matunda na mafanikio ya Mapinduzi ya Kiislamu na kuzungumzia masuala muhimu ya ndani, vitisho vya maadui na hali ya kieneo na kimataifa na vilevile uchaguzi ujao wa Bunge la 9 la Iran.

Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa vilema yaanza nchini Imarati
Duru ya 12 ya mashindano ya hifdhi, kiraa na tafsiri ya Qur'ani Tukufu maalumu kwa vilema wa viungo vya mwili, yaliyopewa jina la Zawadi ya Ra'sul Kheima yalianza siku ya Jumanne katika ufalme huo unaounda Umoja wa Falme za Kiarabu.
Habari katika picha
 
Katibu Mkuu wa Muungano wa Wanachuo wa Sudan akitembelea ofisi za IQNA
Kikao cha ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa Vijana na Mwamko wa Kiislamu/Tehran
Habari Mpya
 
Shughuli za Qurani

Msahafu wa kitaifa wa Imarati wachapishwa upya

Vilema waliohifadhi Qur’ani Misri waenziwa

Jamii na Siasa

Taxi za Waislamu zazinduliwa Ujerumani

Chuo Kikuu cha Oxford kuandaa kongamano la 'Vituo vya Elimu na Mabadiliko katika Jamii za Waislamu'

Utamaduni na Fasihi

Maonyesho Makubwa zaidi ya Hija yaanza London

Kongamano la ‘Mwamko wa Kiislamu na Sinema’ kufanyika Iran

Kimataifa

Toleo jipya la Jarida lililomvunjia heshima Mtume (saw) lapigwa marufuku Morocco

Harakati za Waislamu wa Algeria za kushinda uchaguzi ujao wa bunge

Ripoti

Misimamo ya kindumakuwili ya Qaradhawi kuhusu mapinduzi ya eneo

 
Habari Muhimu
 
Masomo ya tajwidi ya Qur'ani kufanyika Doha
Qur'ani zilizo na makosa ya chapa zakusanywa Imarati
Qur'ani ya bao yaonyeshwa kwenye kikao cha mabunge ya Kiislamu
Maslahi ya Wazayuni kikwazo kikuu cha kurejeshwa haki za Wapalestina
Wazayuni wataka Hosni Mubarak aokolewe!
Kongamano la Mapinduzi ya Tunisia katika Mtazamo wa Sira ya Mtume kufanyika Qairawan
Semina ya Sauti za Qur'ani kufanyika Chuo Kikuu cha Columbia
Picha ya siku
 
 
E-Mail: intl@ikna.ir
2003 - 2012 Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa.