IQNA – Mchambuzi wa masuala ya kisiasa Lebanon amepongeza shambulio la hivi karibuni la Iran dhidi ya Israel kwa kutumia makombora na ndege zisizo na akisema kwamba limesambaratisha dhana potofu ya kutoshindwa kijeshi utawala wa Kizayuni wa Israel.
IQNA - Profesa wa chuo kikuu cha Yemeni amesema "Operesheni ya Ahadi ya Kweli" ya kijeshi ya Iran dhidi ya Israeli ilikuwa zaidi ya shambulio la kulipiza kisasi.
IQNA - Umoja wa Mataifa umeonya kuhusu hali mbaya katika Ukanda wa Gaza ambapo watu wanahangaika maisha kila siku, ukitangaza kuwa utazindua ombi la kimataifa la dola bilioni 2.8 kwa Gaza na Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu.
IQNA – Mafundisho ya Qur’ani Tukufu yanatupa miongozo na kutoa kielelezo cha nidhamu ya kihisia, kutusaidia kuzuia kuathiriwa na mihemko katika hali tofauti.
IQNA - Mchambuzi wa Lebanon ameorodhesha nukta nane kuhusu mashambulizi ya kulipiza kisasi wa Iran dhidi ya utawala haramu wa Israel ambayo yalikuja baada ya mashambulizi ya Israel kwenye ubalozi mdogo wa Iran nchini Syria.
IQNA - Msururu wa vikao vha kusoma Qur'ani Tukufu ambavyo vimepewa jina la "Ahadi ya Kweli" vinafanyika katika Haram Takatifu ya Imam Ridha (AS) huko Mashhad, kaskazini mashariki mwa Iran.
IQNA - Barabara kuu ya 101 ya San Francisco kwenye daraja la Golden Gate ilifungwa na waandamanaji wanaounga mkono Palestina wakitaka kukomesha uungaji mkono wa Marekani kwa utawala katili wa Israel ambao unaendeleza vita vya mauaji ya kimbari Gaza.
IQNA-Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa ameionya Marekani kuhusu kuanzisha hatua za kijeshi dhidi ya Iran baada ya operesheni yake ya kisheria ya hivi karibuni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala ghasibu wa Israel, mshirika mkuu wa kieneo wa Washington.
IQNA-Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo utawala wa Kizayuni wa Israel utafanya harakati yoyote ya kifidhuli utakabiliwa na jibu madhubuti, zito na kali zaidi.
IQNA – Qur’ani Tukufu, pamoja na kuangazia mpangilio katika uumbaji wa ulimwengu wa asili, inawaalika wanadamu kwenye mfululizo wa maadili, tabia na maelekezo ambayo huleta utaratibu na nidhamu.