IQNA

Ikhlasi ni sharti la kuhifadhi Qurani

13:00 - April 23, 2011
Habari ID: 2110334
Kuwa na Ikhlasi kumetajwa kuwa ni sharti la kwanza la kuhifadhi Qurani Tukufu.
Hayo yamesemwa na mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya Masunni huko Iranshahr Hujjatul Islam Musa Ar-Reza Teymuri. Ameongeza kuwa baadhi wanahifadhi Qur'ani ili wapata nafasi ya juu katika jamii na kwa hivyo hawana ikhlasi.
Amesisitiza kuwa kusoma na kuhifadhi Qurani Tukufu, kujifunza misingi yake na kutekeleza mafundisho yake ndio majukumu muhimu ya Waislamu kuhusu Qurani.
Hujjatul Islam Musa Ar-Reza Teymuri amesema zama za utotono ndio wakati bora zaidi wa kuhifadhi Qurani.
777900
captcha