IQNA

Misikiti ya Kale zaidi duniani+PICHA

Misikiti daima imekuwa na hadhi maalumu katika jamii za Waislamu. Picha zilizopo hapa chini ni za misikiti ya kale iliyojengwa katika vipindi mbali mbali vya historia ya Uislamu na ni dhihirisho la ustaarabu adhimu wa Kiislamu.

Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Kufa, Iraq


Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Qiblatayn, Madina, Saudia



Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Huaisheng, Guangzhou, China 


 
Dünyanın en eski camileri
Msikiti wa Jamia wa Kilakarai, Tamil Nadu, India 

 

Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Jawatha, Al-Ahsa, Saudi Arabia




Dünyanın en eski camileri
Msikiti wa Jamia wa Cheraman, Kerala, India


Dünyanın en eski camileri

Msikiti Mtakatifu wa Masjid al-Haram, Makka, Saudi Arabia



Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Jamia wa Kairouan (Msikiti wa Uqba), Kairouan, Tunisia




Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Al-Aqsa, Quds Tukufu (Jerusalem), Palestina



Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Jamia wa Sana’a, Yemen




Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Ez-Zitouna, Tunis, Tunisia


 

Dünyanın en eski camileri

Msikiti wa Mtume SAW (Al-Masjid an-Nabawi), Madina, Saudia