Msikiti wa Koprukoy nchini Uturuki
Msikiti wa Koprukoy uko katika mkoa wa Adana kusini mwa Uturuki na pia ni mashuhuri kama Msikiti wa Yesil (Kijani) kutokana na maua na mimea ya kijani kibichi katika kuta na uwanja wake wenye mandhari ya kuvutia na ya kipekee.