IQNA

Msikiti wa Ahmad Kadyrov, Grozny, Russia

TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Ahmad (Akhmad) Kadyrov uko mjini Grozny, ambao ni mji mkuu wa Jamhuri ya Chechenia nchini Russia.
Msikiti huo ambao rasmi pia unajulikana kama "Roho ya Chechenia’ ni mkubwa zaidi nchini Russia na umepewa jina la Akhmad Kadyrov, aliyeanzisha ujenzi wake akiwa meya wa eneo la Konya.
Msikiti huo una minara yenye urefu wa mita 62 na ujenzi wake unashabihiana na wa Msikiti wa Sultan Ahmed wa mjini Istanbul, Uturuki,
Msikiti huo ulifunguliwa rasmi mwaka 2008 katika sherehe iliyohutubiwa na kiongozi wa Chechenia, Ramzan Kadyrov na kuhudhuria na waziri mkuu wa Russia wakati huo, Vladimir Putin.

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد

مسجد