IQNA

Kongamano la Kimataifa la 'Uislamu na Maisha ya Maelewano'

Konamano la Kimataifa la 'Uwezo wa Kistratijia wa Mafundisho ya Uislamu katika kufikia Maisha ya Maelewano' limefanika Katika Chuo Kikuu cha Tehran, 26 Juni 2019 na kuhudhuriwa na wanazuoni na wasomi kadhaa wa ulimwengu wa Kiislamu