IQNA

Kikao cha Kuchunguza 'Muamala wa Karne'

Kikao cha kuchunguza uwezekano wa kutekelezwa au kutotekelezwa 'Muamala wa Karne' kimefanyika Jumatano 26 Juni na kuhudhuriwa na Nassir Abu Sharif, Mjumbe wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina