IQNA

Tamasha la Masanamu ya Theluji katika Siku ya Mwisho ya Machipuo

Tamasha la Pili ya Masanamu ya Barafu limefanyika kwa uungaji mkono wa Idara ya Sanaa katika Wizara ya Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu Iran na kuhudhuriwa na wahadhiri na wanachuo wa tasnia hiyo, Ijumaa 21 Juni, siku ya mwisho ya msimu wa machipuo, katika kituo cha nane cha gari maalumu la umeme la kupanda mlima (telecabin) katika safu ya milima ya Alborz iliyo eneo la Tochal kaskazini mwa Tehran