Habari Maalumu
IQNA-Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar katika mkoa wa Aswan, Misri, kimewatunuku zawadi na heshima maalumu dada watatu Wamisri waliokamilisha kuhifadhi Qur'ani...
12 Dec 2025, 11:29
Msomi wa Algeria
IQNA-Profesa mmoja wa chuo kikuu kutoka Algeria amesema kuwa hoja za Qur'ani Tukufu alizotumia Bibi Fatimah Zahra (SA) katika kutetea misingi ya haki...
12 Dec 2025, 11:37
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen, Abdul‑Malik al‑Houthi, amelaani vikali ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake...
12 Dec 2025, 11:17
IQNA-Jamii ya wakazi na majirani wa jiji la Norfolk, jimbo la Virginia nchini Marekani, wamejitokeza kwa wingi kusafisha na kurejesha hadhi ya Msikiti...
12 Dec 2025, 11:22
IQNA – Washindi wa juu wa Mashindano ya 33 ya Qur'ani Tukufu ya Sultan Qaboos nchini Oman wametangazwa rasmi.
12 Dec 2025, 11:11
IQNA- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapiga hatua na kusonga mbele licha ya kukabiliwa na mapungufu...
11 Dec 2025, 20:49
IQNA – Baadhi ya vyombo vya habari vimeripoti kuwa Sheikh Badreddin Hassoun, aliyewahi kuwa Mufti Mkuu wa Syria katika utawala wa Bashar al-Assad, amehukumiwa...
11 Dec 2025, 15:08
IQNA – Afisa wa Wizara ya Utamaduni na Mwongozo wa Kiislamu Iran amesisitiza nafasi muhimu ya wanawake katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani ambayo...
11 Dec 2025, 14:16
IQNA – Hafla maalumu ya usomaji wa Qur’ani Tukufu imefanyika wiki hii katika haram tukufu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq.
11 Dec 2025, 13:55
IQNA – Katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya kuhifadhi Qur’ani kwa vipofu nchini Indonesia, nakalah 300 za Qur’ani ya kidijitali kwa mfumo wa nukta...
10 Dec 2025, 17:45
IQNA – Baraza Kuu la Masuala ya Kiislamu la Misri limeandaa maonyesho maalumu sambamba na Mashindano ya 32 ya Kimataifa ya Qur’ani yanayofanyika nchini...
10 Dec 2025, 17:35
IQNA – Licha ya vizuizi vya utawala katili wa Israel na ukosefu wa vifaa, Wapalestina Gaza bado wana hamu ya kujifunza na kuhifadhi Qur’ani Tukufu, na...
10 Dec 2025, 17:09
IQNA – Kadiri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (AS) inavyokaribia, maelfu ya matawi ya maua halisi yamepamba uwanja na ukumbi wa haram...
10 Dec 2025, 16:56
IQNA – Leo, licha ya kuwepo kwa mamia ya majukwaa ya kielimu na ya vyombo vya habari, urithi wa Qur’ani wa Ahlul-Bayt (AS) bado haujulikani kwa Waislamu...
10 Dec 2025, 16:48
Istighfar Katika Qur’ani Tukufu / 3
IQNA – Katika Hadithi, Imam Ali (AS) amebainisha hakika ya kuomba msamaha na vigezo vya Istighfar (kuomba maghfirah).
09 Dec 2025, 16:18
IQNA – Tarjuma ya Qur’ani Tukufu kwa lugha ya Kimaasai ipo mbioni kukamilika. Mradi huu mkubwa unaoendeshwa na Taasisi ya Mohammed Bakari ya Kenya unalenga...
09 Dec 2025, 16:08