Habari Maalumu
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Bunge la Uingereza ambayo ilikuwa na jukumu la kuchunguza mauzo ya silaha za nchi hiyo mwaka 2017 imelaaniwa vikali kwa kupuuza...
12 Feb 2019, 22:24
TEHRAN (IQNA)- Mamilioni ya wananchi Waislamu wa Iran wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika maandamano ya kuadhimisha miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi...
11 Feb 2019, 22:33
TEHRAN (IQNA)- Morocco imejiondoa katika muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
10 Feb 2019, 14:50
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Mtu mwenye chuki za kimadhehebu amemuua mtoto aliyekuwa na umri wa miaka sita, mbele ya mama yake katika mji mtakatifu wa Madina nchini Saudi...
09 Feb 2019, 20:39
Taarifa ya Harakati ya Kiislamu Nigeria
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumua kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa katika...
08 Feb 2019, 12:25
Baada ya kufanya utafiti
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa wa mrengo wa kulia na mbunge wa zamani UholanzI, Joram van Klaveren aliyekuwa na chuki kubwa dhidi ya Uislamu ameibua gumzo...
06 Feb 2019, 17:53
TEHRAN (IQNA)-Fainali za Mashindano ya 36 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu zimepangwa kuanza mjini Tehran kuanzia Aprili 10.
05 Feb 2019, 11:00
TEHRAN (IQNA) – Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) amesisitiza kuwa msingi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ni Qur'ani...
04 Feb 2019, 14:43
TEHRAN (IQNA)- Siku ya Kimataifa ya Hijabu imeadhimishwa Ijumaa katika mji wa Lamu nchini Kenya huku washiriki wakitoa wito wa kuondolewa marufuku ya Hijabu...
03 Feb 2019, 14:13
TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS iliyoko nchini Iraq imezindua Taasisi ya Qur'ani nchini Burkina Faso.
02 Feb 2019, 14:51
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wasiopungua wasiopungua wawili wameuawa na wengine wanne kujeruhiwa kufuatia hujuma ya gurunedi dhidi ya msikiti kusini mwa Ufilipino.
01 Feb 2019, 10:29
Waziri Mkuu Mahathir Mohamad
TEHRAN (IQNA)-Waziri Mkuu wa Malaysia Mahathir Mohammad amesisitiza Jumatatu kuwa nchi yake inashikilia msimamo wake wa kuwazuia raia wa utawala haramu...
29 Jan 2019, 18:44