Kenya ni kati ya nchi 22 katika Maonyesho ya Kimataifa ya Qur’ani Tehran

TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya nchi 20 zinashiriki katika Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran mwaka huu.
Maonyesho ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran yafunguliwa Tehran
TEHRAN (IQNA)-Maonyesho ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran yameanza leo Alasiri katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini SA mjini Tehran.
2017 May 29 , 11:07
Ghadir, nuru katika kitovu cha historia ya Uislamu
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujaalia kuwa miongoni mwa wenye kushikamana na Wilaya ya Ali bin Abi Talib na kizazi chake kitoharifu na maasumu; na mpaka pale roho zetu zitakapokuwamo viwiliwilini mwetu.
2016 Sep 19 , 15:17
Barabara yenye jina la kinara wa ISIS mjini Riyadh, Saudia
Wananchi wa Saudi Arabia wameutaka ukoo tawala wa Aal-Saud kubadilisha jina la barabara moja mjini Riyadh iliyopachikwa jina la kinara wa kundi la kigaidi na kitakfiri la ISIS au Daesh, Abu Bakr al-Baghdadi.
2016 Feb 03 , 15:28
Kenya kujiunga na OIC na kuanzisha mfumo wa fedha wa Kiislamu
Kenya imeazimia kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC sambamba na kuanzisha mfumo wa kifedha wa Kiislamu katika nchi hiyo.
2016 Jan 30 , 12:14