IQNA

Msikiti wa Kul Sharif (Qolsharif) ni moja kati ya misikiti mikubwa Russia na ulijengwa katika karne ya 16 Miladia katika mji wa Kazan. Msikiti huu una ghorofa mbili ambapo ghorofa ya kwanza ni sehemu ya kusali na ghorofa ya pili ni jumba la makumbusho la Kiislamu.