IQNA

Askari wa Utawala wa Kizayuni wa Israel wamebomoa nyumba za Wapalestina katika viungo vya mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu. Utawala wa Israel umetekeleza jinai hiyo pamoja na kuwepo ukosoaji mkubwa wa jamii ya kimataifa.