IQNA

Siku ya Mwisho ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran

TEHRAN (IQNA) - Siku ya mwisho ya duru ya mwisho ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran ilifanyika Jumanne mjini Tehran kwa makundi ya wanawake na wanaume. Sherehe ya kufunga imefanyika leo Februari 22.