iqna

IQNA

Drone
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imetangaza kuwa ndege yake moja isiyo na rubani au drone aina ya "Hassan" imeingia hadi ndani ya anga ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu ambazo zimepachikwa jina la Israel na kutekeleza oparesheni ya kukusanya taarifa za siri.
Habari ID: 3474945    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/19

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) imefanikiwa kuangusha ndege isiyo na rubani (drone) ya jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3472713    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/28

TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo Tehran ameashiria hatua ya kutunguliwa ndege isiyo na rubani (drone) ya Marekani ambayo ilikuwa imekiuka anga ya Iran na kusema: "Wakuu wa Marekani wafahamu kuwa, Lango Bahari la Hormoz daima litakuwa kaburi la wavamizi."
Habari ID: 3472009    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/21