iqna

IQNA

mayatima
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imetoa wito kwa nchi za Kiislamu duniani na mashirika ya kutoa misaada kuwasaidia mayatima hasa kwa mnasaba wa Siku ya Mayatima Katika Nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3470387    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14