iqna

IQNA

Iran,
Tovuti ya Israel ya Ynetnews imeripoti kuwa wadukuzi wa Iran wamefanikiwa kupenya kwenye mitandao ya makampuni zaidi ya 30 ndani ya utawala huo haramu wa Kizayuni.
Habari ID: 3477588    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/12

Katika ujumbe wake uliotolewa kwa mnasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1394 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amelitakia heri na mwaka mpya taifa la Iran na mataifa yote yanayoadhimisha sikukuu ya Nowruz na kuupa mwaka mpya jina la Mwaka wa Serikali na Wananchi, Ushirikiano na Mwelekeo Mmoja.
Habari ID: 3016862    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/21

Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema kuwa, wananchi wa Iran wanaunga mkono mazungumzo ya nyuklia kati ya serikali na kundi la 5+1 sanjari na kuchungwa mistari myekundu ya Jamhuri ya Kiislamu.
Habari ID: 1456638    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/03

Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameshika nafasi ya pili katika mashindano ya Qur'ani ya kimataifa nchini Russia.
Habari ID: 1452134    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/21