iqna

IQNA

senegal
Harakati za Qur'ani
IQNA –Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas (AS) nchini Iraq imeandaa mkusanyiko wa qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Senegal kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3478664    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/10

Wanamichezo Waislamu
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji soka wa timu ya Senegal ambaye amesajiliwa na timu ya Soka ya Al Nassr ya Saudia hivi karibuni, Sadio Mane, ameshiriki katika ibada ya Hija ndogo ya Umrah huko Makka baada ya timu yake kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Zamalek kwenye Kombe la Klabu Bingwa ya Kiarabu 2023.
Habari ID: 3477386    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/05

Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) – Tarjuma mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Pulaar, ambayo inazungumzwa Afrika Magharibi, inatazamiwa kuwasaidia wanaozungumza lugha hiyo ambayo pia inajulikana kama Fulfulde.
Habari ID: 3476622    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/25

TEHRAN (IQNA) - Mohammad Al-Hady Toure ni kijana msomaji wa Qur'ani Tukufu kutoka Senegal ambaye ni maarufu katika duru za Qur'ani za nchi hiyo ya Afrika Magharibi
Habari ID: 3476301    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25

Waislamu na Michezo
TEHRAN (IQNA) – Mshambulizi maarufu Timu ya Taifa ya Soka ya Misri, Mohammed Salah, bingwa wa zamani wa uzito wa juu Mike Tyson, na mshindi wa taji la Ballon d'Or la mwanasoka bora duniani Karim Benzema ni miongoni mwa wanamichezo Waislamu wenye ushawishi mkubwa mwaka 2023.
Habari ID: 3476013    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/31

Waislamu na Michezo
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji wa Morocco Noussair Mazraoui wa Bayern Munich na M senegal i Sadio Mane, ambao ni Waislamu, wamekataa kupiga picha wakiwa wamebeba glasi ya bia katika picha ya kila mwaka ya klabu hiyo ya Bavaria, Ujerumani kutokana na imani yao za kidini.
Habari ID: 3475713    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Waislamu na Michezo
TEHRAN (IQNA)- Nyota Muislamu ambaye ni mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Soka ya Senegal Sadio Mane ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka barani Afrika.
Habari ID: 3475531    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/24

TEHRAN (IQNA) – Mashidano ya Adhana yamefanyika hivi karibuni nchini Senegal na kushirikisha nchi tatu za Afrika Magharibi.
Habari ID: 3473949    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/26

TEHRAN (IQNA)- Muasisi wa kituo kikubwa zaidi cha Qur’ani Tukufu nchini Senegal amefariki dunia.
Habari ID: 3473499    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/27

TEHRAN (IQNA) – Waziri wa zamani wa utamaduni nchini Senegal amerejesha nishani ya juu zaidi ya Ufaransa ya Légion d'honneur aliyokuwa ametunukiwa.
Habari ID: 3473363    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/15

TEHRAN (IQNA) – Makumi ya maelfu ya watu kutoka kote Senegal walijumuika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Dakar, Ijumaa iliyopita kushuhudia kufungulwia rasmi msikiti ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi katika eneo la Afrika Magharibi.
Habari ID: 3472153    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/29

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Utamaduni cha Iran nchini Senegal kimetangaza utayarifu wake katika kuisaidia nchi hiyo kuimarisha shule au Madrassah za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471589    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/10

TEHRAN- (IQNA) Serikali ya Senegal imetangaza mpango wa kuanzisha vituo vipya 21 vya Qur'ani tukufu katika mji wa Kaffrine, kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471385    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/09

Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Tariqa Muridiyyah (aṭ-Ṭariqat al-Muridiyyah) ya Senegal Sheikh (Serigne) Sidy Mokhtar Mbacke ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 94.
Habari ID: 3471350    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/11

TEHRAN (IQNA)-Kozi ya kiwango cha juu ya walimu wa Qur'ani nchini Senegal imefanyika katika mji wa Touba kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471114    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/09

TEHRAN (IQNA)-Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa duru ya pili ya kozi ya kusoma Qur’ani Tukufu kwa msingi wa Tajwid.
Habari ID: 3471097    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/01

Kongamano la Kwanza la Kuchunguza Fikra za Qur'ani za wasomi wa Iran na Senegal limepangwa kufanyika mwezi ujao wa Novemba katika mji wa Thiès magharibi mwa Senegal.
Habari ID: 3470627    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa warsha kuhusu kusoma Qur’ani kwa tajwid katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470506    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Maonyesho ya kwanza na ya pamoja ya Qur’ani ya Iran na Senegal yamefanyika katika Msikiti wa Jamia wa Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3470487    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW, tawi la Senegal, kimepanga warsha maalumu ya misingi ya tajweed na usomaji Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470482    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29