iqna

IQNA

niger
Diplomasia
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Iran na Mali pamoja na nchi nyingine za Afrika si wa kisiasa na kidiplomasia tu, bali umejengeka katika msingi wa maslahi ya pande mbili na pande kadhaa.
Habari ID: 3478250    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/25

Njama za Wamagharibi
ABUJA (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
Habari ID: 3477465    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20

Siasa za Afrika
NIAMEY (IQNA)- Mgogoro bado unaendelea kutokota Niger baada ya mapinduzi ya kijeshi ya Julai 26 katika nchi hiyo tajiri kwa madini ya urani na dhahabu katika ukanda wa Sahel magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3477440    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/15

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu kutoka Nigeria wamewasili nchi jirani Niger pamoja ikiwa ni sehemu ya juhudi za kidiplomasia za kurejesha amani katika nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3477431    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

TEHRAN (IQNA)-Waumini tisa wameuawa katika hujuma ya magaidi dhidi ya msikiti nchini Nigeria katika jimbo la Niger.
Habari ID: 3474662    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10

TEHRAN (IQNA)- Hizi hapa ni picha za baadhi ya misikiti ya bara la Afrika kikiwemo Kituo cha Kiislamu cha Hikma kiko katika kijiji cha Dandaji nchini Niger.
Habari ID: 3474502    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/02

TEHRAN (IQNA)- Kwa uchache watu 10 wameuawa katika shambulizi la magaidi wakufurishaji walilolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.
Habari ID: 3474421    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameua Waislamu 19 waliokuwa msikitini nchini Nigeria katika eneo la mpaka wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na Mali.
Habari ID: 3473831    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/19

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameua askari kumi wa Niger katika hujuma kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka na Nigeria.
Habari ID: 3471580    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/02

Shirika moja la kutoa misaada nchini Qatar limeanzisha vituo 169 vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini Niger.
Habari ID: 3335751    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/27