IQNA

Tilawa ya Qur’ani ya mototo kutoka Libya mwenye umri wa miaka 6

TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Yusuf ni mvulana mwenye umri wa miaka sita kutoka Libya ambaye ana ustadi mkubwa katika kusoma Qur’ani Tukufu.

Katika klipu hii mototo huyu wa Libya anasoma aya ya kwanza hadi ya 11 ya Suratul Mulk kwa sauti nzuri yenye mvuto akitumia mbinu ya Tarteel.

Kishikizo: libya ، yusuf ، tilawa ، qurani tukufu