IQNA

Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran: Siku ya II katika Picha

TEHRAN (IQNA) - Washiriki wa kategoria mbalimbali za wanaume na wanawake walishiriki katika siku ya pili ya fainali ya Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran siku ya Jumatatu.