iqna

IQNA

tunisia
TEHRAN (IQNA)-Maafisa wa usalama Tunisia Ijumaa walimtia mbaroni mbunge ambaye alikosoa vikali uamuzi wa hivi karibuni wa rais Kais Saied ‘kunyakua; madaraka.
Habari ID: 3474144    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/31

TEHRAN (IQNA)- Vyombo vya habari vimearifu kuwa, jeshi la Tunisia limetuma vikosi vya jeshi katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis kufuatia matukio ya karibuni na uamuzi wa Rais wa nchi hiyo, Kais Saeid wa kuwafuta kazi Waziri Mkuu na Spika wa Bunge.
Habari ID: 3474129    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/26

TEHRAN (IQNA) –Rais Kais Saied wa Tunisia leo ametembelea nchini ya Libya ambapo amefnaya mazungumzo na viongozi wa serikali mpya ya umoja wa kitaifa.
Habari ID: 3473743    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/17

TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Tunisia imeashiria juhudi za baadhi ya mataifa ya kieneo za kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kwamba, serikali ya Tunis haina mpango wa kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3473484    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/23

TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Tunisia wameandamana katika mji mkuu Tunis, kulaani uamuzi wa kuifunga Radio ya Qur’an nchini.
Habari ID: 3473436    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/08

TEHRAN (IQNA) – Wanaharakati wa kisiasa nchini Tunisia wametaka Oktoba Mosi itambuliwe nchini humo kama ‘Siku ya Kitaifa ya Kupambana na Uzayuni.’
Habari ID: 3473224    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/02

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Tunisia waliokuwa na hasira wameandamana nje ya ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mjini Tunis kupinga kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya UAE na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473085    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/19

TEHRAN (IQNA) – Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimezindua mpango wa kupiga kura ya kutokuwa na imani na spika wa bunge la nchi hiyo Rached Ghannouchi ambaye anatuhimiwa kupembelea upande mmoja.
Habari ID: 3472959    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/13

TEHRAN (IQNA) – Wananchi wa Tunisia wamerejea katika misikiti na migahawa Alhamisi baada ya nchi hiyo kuhitimisha zuio na vizingiti ambavyo vilikuwa vimewekwa kuzuia kuenea ugonjwa wa COVID-19.
Habari ID: 3472835    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/04

TEHRAN (IQNA) - Kituo cha Utamaaduni cha Jamhuri ya Kiislamu Iran nchini Tunisia kimeandaa mafunzo ya usomaji Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472716    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/29

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Awamu ya 17 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tunisia wametangazwa katika sherehe iliyofanyika Ijumaa.
Habari ID: 3472276    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/14

TEHRAN (IQNA) – Washindi wa Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani nchini Tunisia wametangazwa na kutunukiwa zawadi zao.
Habari ID: 3471772    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/15

Katika kutetea timu ya taifa iliyosoma Al Fatiha kabla ya mechi
TEHRAN (IQNA)- Dhakir Lahidhab ni daktari mpasuaji ambaye M tunisia ambaye katika kuwajibu wale waliokosoa hatua ya timu ya taifa ya soka ya nchi hiyo kusoma aya za Qur'ani kabla ya mechi na Uingereza katika Kombe la Dunia amesema binafsi husoma Qur'ani kabla ya kila oparesheni ya upasuaji.
Habari ID: 3471569    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/23

TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19

TEHRAN (IQNA)-Waandalizi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani nchini Tunisia wameiomba Iran imteue qarii na mtaalamu Qur’ani ili awe miongoni mwa jopo la majaji katika mashindano hayo.
Habari ID: 3471413    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/03

TEHRAN (IQNA)-Idhaa ya Qur'ani nchini Tunisia imesitisha matangazo yake baada ya serikali ya nchi hiyo kuipiga marufuku kutokana na kueneza itikadi za ukufurishaji.
Habari ID: 3471247    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/04

Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia amefutwa kazi, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahhabi ambayo inatawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
Habari ID: 3470652    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tunisia mwaka huu hayatafanyika kutokana na ukosefu wa bajeti.
Habari ID: 3470328    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23

Waziri wa Masuala ya Kidini Tunisia
Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia Sheikh Uthman Batikh amesisitiza kuhusu ulazima wa kukabiliana na misimamia mikali pamoja na harakati za wakufurishaji na kuongeza kuwa, 'leo wale wenye misimamo mikali wameharibu sura ya Uislamu'.
Habari ID: 3460914    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/07

Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia ametangaza hali ya hatari ya siku 30 kufuatia shambulizi dhidi ya basi lililokuwa limewabeba maafisa usalama wa nchi hiyo hapo .jana
Habari ID: 3457119    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/25