iqna

IQNA

basketboli
TEHRAN (IQNA)- Shirikisho la Mpira wa Kikapu Duniani (FIBA) limechukua uamzui wa kihistoria wa kuondoa marufuku ya muda mrefu ya wanawake Waislamu kuvaa Hijabu wanapocheza.
Habari ID: 3471202    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/03

Mwaka moja uliopita, Indira Kaljo, mwanamke Mwislamu mcheza basketboli , aliamua kuvaa vazi la staha la Kiislamu, Hijabu.
Habari ID: 3470469    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/23

Shirikisho la Kimataifa la Basketboli FIBA limewaruhusi wachezaji wanawake Waislamu kuvaa Hijabu katika mechi za mchezo huo mashuhuri.
Habari ID: 3353719    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/29