iqna

IQNA

imam hussein
TEHRAN (IQNA) – Lengo la harakati ya Imam Hussein (AS) lilikuwa ni kuonyesha kwa jamii kwamba kuna mtazamo mzuri zaidi kwa dini na kile ambacho watawala wa Bani Umayya wanafanya kwa jina la dini si sahihi.
Habari ID: 3477592    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/13

Msafara wa Qur'ani wa Noor ulifanya mikutano mingi ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwenye njia (Masir)ya kutembea ya Arbaeen 1444 kutoka Najaf hadi Karbala.
Habari ID: 3477528    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/31

Muharram 1445
TEHRAN (IQNA)- Wafanyaziara milioni 16 wameingia Karbala, Iraq katika siku 10 za kwanza za mwezi wa Muharram mwaka huu wa 1445 Hijria Qamaria.
Habari ID: 3477358    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/30

Muharram 1435
NAIROBI (IQNA)- Waislamu, hasa wa madhehebu ya Shia, wamejumuika katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi kuadhimisha kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Hussein (as) katika siku ya Ashura.
Habari ID: 3477357    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/30

Muharram 1445
TEHRAN (IQNA)- Katika siku kama hii ya leo miaka 1384 iliyopita kulingana na kalenda ya Hijria, moja kati ya vita mashuhuri katika historia ya Uislamu na mwanadamu, vilitokea baina ya majeshi ya haki na majeshi ya batili katika ardhi ya Karbala huko Iraq.
Habari ID: 3477348    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/28

Muharram 1445
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, majlisi na shughuli za maombolezo ya Tasua.
Habari ID: 3477347    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/27

TEHRAN (IQNA)- Katika mkesha wa kuanza mwezi wa Muharram, bendera ya Msikiti wa Jamkaran karibu na mji wa Qum nchini Iran imebadilishwa ambapo ile ya kijani kibichi imeshushwa na nyeusi ikapandishwa.
Habari ID: 3474173    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/09

Imam Hussein AS alisema: Mja ambaye atamuabudu Mwenyezi Mungu kama anavyostahiki kuabudiwa, Mwenyezi atampa kilicho zaidi ya alichokiomba. (Mawsuat Kalimat al-Imam al-Hussein AS. Hadithi ya 906, Uk. 748)
Habari ID: 3471190    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/25

IQNA: Tarehe 20 Safar inasadifiana na Arubaini ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS pamoja na wafuasi wake 72 katika jangwa la Karbala, Iraq ya leo. Hii huwa ni siku maalumu ya kusoma Ziara ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470685    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/19

Waislamu mjini Dar es Salaam, Tanzania wameshiriki katika matembelezo ya kuwakumbuka mateka wa Karbala na hasa Bibi Zainab SA.
Habari ID: 3470616    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/16

Katibu Mkuu wa Hizbullah
Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesisitiza kuwa, wakati muqawama ulipoweza kuzuia kufanikishwa malengo ya adui, ulipata ushindi, na zaidi ya hayo ni kuwa, muqawama uliweza kufanikisha malengo yake.
Habari ID: 3470595    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/03