iqna

IQNA

hijaz
TEHRAN (IQNA)- Mfalme Salman wa Saudia Jumatano alimtimua mrithi wa kiti chake na kumkabidhi nafasi hiyo mwanaye Muhammad bin Salman katika hatua iliyotajwa kuwa ni mapinduzi katika utawala.
Habari ID: 3471031    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/22

Jumuiya ya Wanazuoni na Wakufunzi wa Chuo Kikuu cha Kidini cha mji mtakatifu wa Qum nchini Iran imelaani hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama moja ya Saudi Arabia dhidi ya mwanazuoni mkubwa wa nchi hiyo Ayatullah Nimr Baqir al Nimr na imetoa wito wa kuachiwa huru msomi huyo bila ya masharti yoyote.
Habari ID: 1460866    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/17