iqna

IQNA

mahujaji
TEHRAN (IQNA) – Mwenyezi Mungu amewaalika watu kuhiji na kuwabariki mahujaji fursa ya kuitembelea nyumba yake.
Habari ID: 3477747    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/17

KARBALA (IQNA) - Zaidi ya wafanyaziyara milioni 22 walitembelea mji Mtukufu wa Karbala katika msimu wa mwaka huu wa Arubaini hadi sasa.
Habari ID: 3477570    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/09

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA)- Operesheni ya kuosha na kusafisha Ka’aba Tukufu huko Makka imekamilika ili kuandaa mahali patakatifu kwa ajili ya Hija ijayo.
Habari ID: 3475335    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/04

TEHRAN (IQNA) – Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani amepongeza uamuzi wa Saudi Arabia wa kupunguza kabisa idadi ya mahujaji na kuwazuia mahujaji wa kimataifa kuingia nchini humo.
Habari ID: 3472897    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/25

TEHRAN (IQNA)-Kila mwaka mamilioni ya Mahujaji kutoka kila kona ya dunia humiminika katika Mji Mtakatifu wa Makka kwa ajili ya Ibada ya Hija.
Habari ID: 3471138    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/23

Umoja wa Wanawake Waislamu Duniani wametoa taarifa ya rambirambi kufuatia kuuawa maelfu ya mahujaji kutoka nchi mbali mbali katika mkanyangano wa Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka.
Habari ID: 3385195    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/13

Baada ya kupita wiki mbili
Hatimaye baada ya kupita muda wa wiki mbili, Waziri wa Saudi Arabia anayehusika na Hija ametoa mkono wa pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia kuaga dunia Mahujaji wa Iran katika maafa ya Mina.
Habari ID: 3383364    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/09

Familia za makumi ya Mahujaji wa Morocco walioaga dunia katika maafa ya Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka wamesema wataishtaki serikali ya Saudi Arabia kutokana uzembe uliosababisha kuaga dunia na kutoweka jamaa zao.
Habari ID: 3382524    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/06

Waislamu nchini Tanzania wametaka iundwe kamati ya kimataifa kuchunguza maafa ya hivi karibuni huko Mina karibu na mji mtukufu wa Makka ambapo zaidi ya Mahujaji 5,000 walipoteza maisha.
Habari ID: 3377983    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/03

Wizara ya Afya ya Saudi Arabia imetangaza kuwa, idadi ya Mahujaji walipoteza maisha katika maafa ya Mina imefikia 4,173.
Habari ID: 3374468    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, ukosefu wa busara na tadbiri katika utawala wa Saudia ndio chanzo cha mahujaji kupoteza maisha kidhulma.
Habari ID: 3374466    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Ulimwengu wa Kiislamu una maswali mengi ya kuuliza kuhusu maafa yaliyotokea Mina nchini Saudi Arabia.
Habari ID: 3372415    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/27

Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wasiopungua 1,000 wamefariki dunia na wengine 1,500 wamejeruhiwa katika msongamano wa mahujaji wakati wa kutekeleza ibada ya Hija huko Mina karibu na Makka.
Habari ID: 3367053    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu amesema uzembe uliofanywa na serikali ya Saudi Arabia ndio uliosababisha tukio la maafa yaliyotokea katika mji mtukufu wa Makka.
Habari ID: 3362440    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/14