iqna

IQNA

vita
TEHRAN (IQNA) -Baadhi ya duru za Saudi Arabia zimeripoti kuwa, wiki iliyopita Sudan ilipeleka mamia ya wanajeshi wake huko Yemen kupitia Saudia.
Habari ID: 3473227    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/03

TEHRAN (IQNA)- Muungano vamizi unaoongozwa na Saudia hadi sasa umeharibu kwa makusudi mamia ya misikiti na maeneo ya kihistoria katika vita vya Yemen.
Habari ID: 3472666    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/14

TEHRAN (IQNA) - Watawala wa Saudi Arabia wamekasirishwa na kitendo cha Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) cha kuwaondosha nchini Yemen idadi kubwa ya wanajeshi wake.
Habari ID: 3472040    Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/12

TEHRAN (IQNA)- Ndege za ki vita za utawala dhalimu wa Saudia Arabia zimedondosha mabomu katika maeneo ya raia ya mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa Yemen nna kuua na kujeruhiwa raia 17 wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471440    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22

Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imekanusha madai ya Saudia kuwa imeshambulia msikiti wa Makkah.
Habari ID: 3470642    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30

Saudi Arabia imeendelea kukaidi wito wa kuundwa kamati ya kimataifa ya kutafuta ukweli kuhusu jinai zilizofanywa na utawala huo dhidi ya taifa la Yemen.
Habari ID: 3470601    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/06

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuhimiza kumbukumbu ya mashahidi ni moja ya nukta muhimu katika kukabiliana na njama za adui na kulinda mapambano katika jamii.
Habari ID: 3470593    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/02

Ndege za ki vita za Saudi Arabia zimedondosha mabomu katika msikiti mwingine huko kaskazini mashariki mwa Yemen.
Habari ID: 3470511    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09

Umoja wa Mataifa umesema watoto 10,000 nchini Yemen walio chini ya umri wa miaka mitano wamepoteza maisha kutokana na sababu za ki vita nchini humo.
Habari ID: 3470355    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/03

HRW
Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch (HRW) limesema Uingereza na Marekani zinashirikiana na Saudi Arabia kuten
Habari ID: 3470226    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/02

Serikali ya Uingereza iko katika hatari ya kushtakiwa kwa kuiuzia Saudi Arabia makombora yaliyotumika kuwashambulia raia wasio na hatia nchini Yemen.
Habari ID: 3457990    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/29

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesema Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ni ngome hai na ya mstari wa mbele ya kukabiliana na vita laini.
Habari ID: 3384712    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei leo Jumapili mjini Tehran kabla ya kuanza Wiki ya Kijihami Kutakatifu hapa nchini amekutana na kufanya mazungumzo kwa karibu na walemavu wa vita na familia zao na kuwajulia hali.
Habari ID: 3365553    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/20

Saudi Arabia imeendeleza mashambulizi yake ya kikatili kote Yemen huku Umoja wa Mataifa ukitoa wito wa kusitishwa mapigano katika nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3342924    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/14

Ripoti ya Umoja wa Mataifa
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu jinai za utawala haramu wa Israel huko Ghaza iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imechapishwa.
Habari ID: 3317957    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/23

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesikitishwa sana kuhusu kuakhrishwa mkutano wa mazungumzo ya amani Yemen.
Habari ID: 3308524    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27

Ndege za ki vita za Saudi Arabia jana usiku kwa mara nyingine tena zimeyashambulia maeneo mbalimbali ya mji mkuu wa Yemen Sana'a. Ndege za ki vita za Saudi Arabia jana usiku zililishambulia kwa mara kadhaa eneo la al al-Urqub Khulan huko katika mji mkuu Sana'a.
Habari ID: 3217759    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kamwe haijawahi kuwa tishio kwa usalama wa eneo la Mashariki ya Kati na nchi majirani zake na katika siku za usoni pia haitokuwa hivyo, lakini wakati huo huo itaendelea kusimama kidete kukabiliana vilivyo na uchokozi wa aina yoyote ile dhidi yake.
Habari ID: 3180160    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/20

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza kabisa tokea yalipoanza mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen amesikika akitoa kauli ya kutaka mashambulio hayo ya kijeshi yakomeshwe mara moja.
Habari ID: 3159650    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/17

Ayatullah Rafsanjani
Mkuu wa Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema kuwa, Saudi Arabia haitofikia malengo yake kwa mashambulizi yake ya anga dhidi ya wananchi wa Yemen.
Habari ID: 3156548    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/16